Waziri wa ardhi nchini tanzania @william lukuvi
amemfukuza kazi afisa ardhi na mmoja wa watendaji wake
kwa kitendo cha kumrudishia ardhi mwekezaji mhindi
kwani ardhi hiyo ilikua imekwiasha futwa na mheshimiwa raisi
hivyo ni kosa kisheria na hatua kali zitachukulawa
No comments:
Post a Comment