Nchini marekani aliyekuwa dj,muandishi na
mtayarishaji wa muziki @dj khalid ametangaza rasmi nia na
lengo lake la kustaafu sanaa hiyo ya muziki na kutaka kubaki
kama @jay z ila muziki kwake it,s over amesema ataendelea
na biashara zake nyingine nje ya muziki
No comments:
Post a Comment