NILIMTONGOZA AKANIKATAA , NIKAMTONGOZA RAFIKI YAKE KANIKUBALIA SASA IMEKUA NONGWA

 Huyu dada kwenye picha  anamatatizo kwa kweli
nilikutana nae kwenye hoteli ya kimataifa nikamtongoza akanikatalia
akisema mazingira haya rusu ni ka mwomba namba nimcheki nje ya
mazingira yale akakataa kabisa .... dunia kijiji siku moja nikakutana 
na rafiki yake ambaye yeye alikuwa ni mzuri kushinda yeye  alaf yupo
kawaida haringi nikatupa kamba zikapokelewa  cha ajabu nafatwa na
aliye nikataa akinitukana matusi akisema eti mimi nawagombanisha yeye
na rafiki yake wakati yeye alinikataa kabisa
Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts