MWANA FA "WANANGU HAWAWEZI KUWA WANAMUZIKI"

Mwana muziki  wa  hiphop  mwana fa  ametamka hayo hii leo alipotuma picha hiyo  akiwa na
watoto wake akitaka waje kuishi maisha ya 
kawaida na sio kuja kuwa wasanii kama yeye
Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts