-
WHERE PEACE IS VUNERABLE
Due to the racial murder of our fellow black GEORGE FLORID peace has been a topic for may countries in america and asia .
-
This is a happy smiley face
Always be happy because happinness brings away all sorrows and peace of mind.
-
THA AMAIZING FACTS OF THE FLOURIST
Meet the best flourist proffession for caring,supply,maintanace advice so that people can keep the flour.
-
THE GREAT CHINA TOWN
This is the almighty city developed in acountry where chines people can be found in clans.
-
THE BIGGEST FACTOR FOR ECONOMY
This helps people earn living because bussines happens all the time no matter the hazard present in the area.
MSANII MWANA FA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO BAADA YA KUTANGAZA KUWANIA UBUNGE MWAKA HUU
bomgo fleva mwanafa kutangaza kutaka kuwania ubunge zimezuka
taarifa mbalimbali zikisema kwamba msanii huyo yupo katika wakati
mgumu baada ya watu wasiojulikana kumtia vitisho na kumtaka yeye
aachane na nia hiyo kwani ubunge sio fani yake.amesema hayo akiwa katika
hali ya hofu kwani anasema watu wale hawana utani wasije mdhuru
IRANI YATOA WARRANTY YA KUKAMATWA KWA RAISI WA MAREKANI
kwa raisi wa marekani @ d.trump na wanajeshi wake wapatao
35 kwa kosa la kuhusika na kifo cha jenerali wa iran aliyejulikana
kama qassem soleiman ambaye aliuawa siku chache zilizo pita
kwa msaada wa jeshi la marekani .. hivyo iran wameomba shirika na
jeshi la usalama la kimataifa @international police kuwasaidia kuwasilisha
swala hilo mahakamani na kulishugullikia
NILIMTONGOZA AKANIKATAA , NIKAMTONGOZA RAFIKI YAKE KANIKUBALIA SASA IMEKUA NONGWA
nilikutana nae kwenye hoteli ya kimataifa nikamtongoza akanikatalia
akisema mazingira haya rusu ni ka mwomba namba nimcheki nje ya
mazingira yale akakataa kabisa .... dunia kijiji siku moja nikakutana
na rafiki yake ambaye yeye alikuwa ni mzuri kushinda yeye alaf yupo
kawaida haringi nikatupa kamba zikapokelewa cha ajabu nafatwa na
aliye nikataa akinitukana matusi akisema eti mimi nawagombanisha yeye
na rafiki yake wakati yeye alinikataa kabisa
TUKUMBUKE KUWA SISI WOTE NI WAMOJA TUWEKE KASORO ZETU PEMBENI
... pichani ni msanii na mmiliki/ mwanzilishi wa lebo ya konde music
world wide @harmonize akiwa katika kanzu wakati akijiweka
wakfu kushiriki katika mazishi ya aliyekua mke wa mmoja wa
mameneja wa lebo ya @WCB ....washabiki wamempongeza msanii
huyo kwa kitendo chake cha kiungwana kwani aliweka kasoro
zao pembeni na kushirikiana kwenye wakati washida na raha
NANI MWENYE UJASIRI WA HALI HII DUNIANI
mkononi msalaba wa aliyekua mama mkwe wake
akiwa amefariki dunia sikua ya send off yake na kuazimisha
mazishi ya mama mkwe wake siku moja ya harusi yake yeye na
mume wake mtarajiwa ambaye ni mtoto wa marehemu ........
yaani wanaoanisha siku ya mazishi na siku ya harusi
pamoja
RAPA WA MAREKANI LIL WAYNE AACHIA KINYWAJI CHA LIL WAYNE FUNERAL SASA KIPO MADUKANI NCHINI MAREKANI
ameachia kinywaji chake kipya kinachoitwa lil wayne funeral
ikiwa ni kipindicha maadhimisho ya msiba wa mumarekani mweusi
@george floyd ambaye aliuliwa kikatili na vyombo vya usalama
nchini huma hivyo mwanamuziki huyo ametumia fursa hiyo
kuzindua kinywaji chake hicho cha @lil wayne funeral
KIFO NI AHADI AMBAYO KILA MWANADAMU ATAPITIA RIP SHAMMY
viongozi waliokatika menejimenti ya wcb babu tale.
mwanadada huyo ajulikanaye kama @shammy
anasadikika kupoteza maisha siku ya leo tar 28/06/2020
akiwa hospitalini alipo lazwa baada ya kuzidiwa
akiwa nyumbani na kukimbizwa hospitalini
hapo roho wa MUNGU ailaze mahala
pema peponi roho ya marehemu
@shammy
MALKIA CAREN MTOTO WA GADNER AJITUPA MZIMA MZIMA KWA BILLIONEA LAIZER "MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHA "
gadner ameamua kusema hayo ikiwa ni gumzo linaendelea
baada ya billionea laizer kuchimba mawe ya tanzanite yenye
kilo 15 na thamani ya billioni 7.8 na kutangazwa kuwa na
yeye kuhesabiwa miongoni mwa mabillionea tanzania
taarifa hizo zikaibua gumzo na kumfanya laizer kupata
lina kwani wasanii na watu wakubwa wameanza
mahusiani naye ya kila namna
MASTA JAY ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE ROMBO
shindano la bongo star search tanzania bwana ajulikanaye
kwa jina la @ masta jay baada ya kuacha gumzo alipotoa
kauli ya kutaka kuwania ubunge jimboni rombo ameamua
kuvunja ukimya na kutaka kueleza nia za msingi zilizo mpelekea
yeye kuchukua uamuzi huo "nataka kuleta maendeleo jimboni
kwangu "kauli hiyo aliitoa kama kielelezo tosha cha nia yake
LAVALAVA AMKA HATUKUONI UKITUSUA NJE YA WCB
wa msanii huyo @lavalava wakimtaka afunguke na kuchukua
uamuzi mgumu wa kujiletea mabadiliko kwan huko aliko kwa
wakati huu si pazuri pameshapooza yeye hasikiki kabisa na kipaji
kitapotea kwani husikiki mpaka vijana wa juzi wanataka kukupita
levo yako jiongeze tafuta mabadiliko
NDEGE YAANGUKA NCHINI MEXICO WATU 6 WAPOTEZA MAISHA
ndogo kuanguka nchini mexico jimboni chinhuahua
kulingana na taarifa zilizopatikana ndege hiyo aina ya
TU206G ilikua ikifanya safari yake humo jimboni
chunhuahua na hitifala za ghafla kutokea na
kusababish @leonila gonzalez olivas
na wengine watano kupoteza maisha