dakika 50 zilizopita .posti hiyo imezua gumzo na kuamsha
hisia za watanzania wengi wakimtaka mc pilipili apunguze au aache
kabisa kitendo cha kumpromo / kumpigia debe sana mkewe
kwamba ni mzuri sana kisa amemzalia mtoto .watu wamemtaka
apunguze ilo kwani ni ushamba sababu duniani wazuri wengi
na pia wanazaa vilevile kama mkewe








No comments:
Post a Comment