ROMA NA MUVI YAKE MPYA COMING SOON

 Ikiwa ni hatua iliyochukuliwa na msanii wa
bongo fleva roma mkatoliki  baada ya kutamba na
ngoma ya mkombozi ambayo imefannya vizuri bongo
na kuamua kuiweka kwenye muvi .
ni filamu ambayo imetumia ustadi wa hali ya juu
na yenye maudhui kwa jamii

Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts