MWANADADA TESSY AIPA KISOGO SKENDO YA KUFUMANIWA

 Mwanadada huyo ambaye ni mzazi mwenza
kwa  mwanamuziki  aslay amesema  yeye ameamua kuwa
mtu wa kimya hataki maneno na watu kwani wamekua wakimlazimisha
aseme kitu juu ya skendo hiyo ila yeye ameamua kulifumbia macho
jambo hilo
Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts