TUPO KWA AJILI YAKO BABA TUNAKUPENDA SOTE

Wasanii wa bongo fleva nchini tanzania wakiwa wamevalia sare zao za   chama cha  mapinduzi
mda mchache baada ya kumalizika kwa  mkutano wa chama hicho makao makuu kule mkoani
dodoma  .wasanii hao wamekubali kumsapoti raisi wa tanzania katika harakati zake za kuelekea
katika uchaguzi mkuu mwezi wa kumi
Share:

MSANII MWANA FA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO BAADA YA KUTANGAZA KUWANIA UBUNGE MWAKA HUU

 Ikiwa siku chache zimepita tangu msanii wa
bomgo fleva mwanafa kutangaza kutaka kuwania ubunge zimezuka
taarifa mbalimbali zikisema kwamba msanii huyo yupo katika wakati 
mgumu baada ya watu wasiojulikana kumtia vitisho na kumtaka yeye
aachane na nia hiyo kwani ubunge sio fani yake.amesema hayo akiwa katika 
hali ya hofu kwani anasema watu wale hawana utani wasije mdhuru

Share:

IRANI YATOA WARRANTY YA KUKAMATWA KWA RAISI WA MAREKANI

 Taifa la @iran limetoa warranti ya kukamatwa
kwa raisi wa marekani @ d.trump na wanajeshi wake wapatao
35 kwa kosa la kuhusika na kifo cha  jenerali wa iran  aliyejulikana 
kama qassem soleiman ambaye aliuawa siku chache zilizo pita
kwa msaada wa jeshi la marekani  .. hivyo iran wameomba shirika na
jeshi la usalama la kimataifa @international police kuwasaidia kuwasilisha 
swala  hilo mahakamani na kulishugullikia
Share:

NILIMTONGOZA AKANIKATAA , NIKAMTONGOZA RAFIKI YAKE KANIKUBALIA SASA IMEKUA NONGWA

 Huyu dada kwenye picha  anamatatizo kwa kweli
nilikutana nae kwenye hoteli ya kimataifa nikamtongoza akanikatalia
akisema mazingira haya rusu ni ka mwomba namba nimcheki nje ya
mazingira yale akakataa kabisa .... dunia kijiji siku moja nikakutana 
na rafiki yake ambaye yeye alikuwa ni mzuri kushinda yeye  alaf yupo
kawaida haringi nikatupa kamba zikapokelewa  cha ajabu nafatwa na
aliye nikataa akinitukana matusi akisema eti mimi nawagombanisha yeye
na rafiki yake wakati yeye alinikataa kabisa
Share:

TUKUMBUKE KUWA SISI WOTE NI WAMOJA TUWEKE KASORO ZETU PEMBENI

 Hongera  umefanya  jambo la heri sana
... pichani ni msanii na mmiliki/ mwanzilishi wa lebo ya konde music
world wide @harmonize akiwa  katika kanzu wakati akijiweka 
wakfu kushiriki katika mazishi ya aliyekua mke wa mmoja wa 
mameneja wa lebo ya @WCB ....washabiki wamempongeza msanii 
huyo  kwa kitendo chake cha kiungwana kwani aliweka kasoro
zao pembeni na kushirikiana kwenye wakati washida na raha  
Share:

NANI MWENYE UJASIRI WA HALI HII DUNIANI

 Kwenye picha ni  bibi harusi  akiwa amebeba
mkononi  msalaba wa aliyekua mama mkwe wake
akiwa amefariki dunia sikua ya send off  yake na kuazimisha
mazishi ya mama mkwe wake siku moja ya harusi yake yeye na
mume wake mtarajiwa ambaye ni mtoto wa marehemu  ........
yaani wanaoanisha  siku ya mazishi na siku ya harusi 
pamoja
Share:

RAPA WA MAREKANI LIL WAYNE AACHIA KINYWAJI CHA LIL WAYNE FUNERAL SASA KIPO MADUKANI NCHINI MAREKANI

 Mwanamuziki mnchini marekani @lil wayne
ameachia kinywaji chake kipya kinachoitwa lil wayne funeral
ikiwa ni kipindicha maadhimisho ya msiba wa mumarekani mweusi
@george floyd ambaye aliuliwa kikatili na vyombo vya usalama
nchini huma hivyo mwanamuziki huyo ametumia fursa hiyo 
kuzindua kinywaji chake hicho  cha  @lil wayne funeral
Share:

WIMBO WA AMABOKO WA VANNYBOI NA DIAMOND WALETA BALAA MITANDAONI

 Lebo ya muziki ya  wasafi kupitia wasanii wake
nguli @diamond  na @ rayvanny wameachia ngoma mpya 
inayoenda kwa jina la @amaboko . ngoma hiyo bado inafanya 
vizuri  katika  mitandao kwani kwa siku moja imeweza kufikia
watazamaji  505k  idadi hiyo ikiwa imevunja rekodi ya nyimbo zote
kuwahi kuwekwa youtube 
Share:

JAMANI UCHAWI BADO UPO KWENYE MPIRA TUWE MAKINI

 Mmoja wa wachezaji wa timu ya ---------------
akiwa amejipanga kuikabili mechi inayomsubiri huku akiwa
hajiamini kwani camera zimemnasa akiwa na tambiko mguuni
ambalo anaamini litaweza msaidia yeye na timu yake katika
mchezo wa leo kupata ubingwa.matokeo yametoka wametoka
sare ya bao 2-2
Share:

KIFO NI AHADI AMBAYO KILA MWANADAMU ATAPITIA RIP SHAMMY

 Pichani ni mwanadada na mke wa mmoja wa 
viongozi waliokatika menejimenti ya wcb babu tale.
mwanadada huyo ajulikanaye kama @shammy 
anasadikika kupoteza maisha siku ya leo tar 28/06/2020
akiwa hospitalini alipo lazwa baada ya kuzidiwa 
akiwa nyumbani na kukimbizwa hospitalini 
hapo  roho  wa MUNGU ailaze mahala
pema peponi roho ya marehemu 
@shammy
Share:

MALKIA CAREN MTOTO WA GADNER AJITUPA MZIMA MZIMA KWA BILLIONEA LAIZER "MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHA "

 Mwana dada huyo caren ambaye ni mtoto wa
gadner ameamua kusema hayo ikiwa ni gumzo linaendelea
baada ya billionea laizer kuchimba mawe ya tanzanite yenye
kilo 15 na thamani ya billioni 7.8 na kutangazwa kuwa na
yeye kuhesabiwa miongoni mwa mabillionea tanzania
taarifa hizo zikaibua gumzo na kumfanya laizer kupata
lina kwani wasanii na watu wakubwa wameanza 
mahusiani naye ya kila namna 
Share:

DIDA "UJINGA TULIFANYA ZAMANI SASA NI PESA TU"

 Mtangazaji huyo nguli wa wasafi fm @khadija shaibu  ajulikanae  kama dida  ameamua kufunguka na 
kusema  maisha yanabadilika na sasa ni wakati wa 
kupambania maisha na kusaka hela kwani uko nyuma 
ameanya mengi  na  alipofika inatosha sasa ni muda wa
kufikiria kivingine na kutafuta maisha 
Share:

MASTA JAY ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE ROMBO

 Aliyekuwa  mmoja kati ya majaji wa 
shindano la bongo star search  tanzania bwana ajulikanaye
kwa jina la @ masta jay baada ya kuacha gumzo alipotoa
kauli ya kutaka kuwania ubunge jimboni rombo  ameamua
kuvunja ukimya na kutaka kueleza nia za msingi zilizo mpelekea
yeye kuchukua uamuzi huo "nataka  kuleta maendeleo jimboni
 kwangu "kauli hiyo aliitoa kama kielelezo tosha cha nia yake
Share:

BAADA YA VANESSA STAR MWINGINE ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI

 Nchini marekani aliyekuwa dj,muandishi na
mtayarishaji wa muziki @dj khalid ametangaza rasmi nia na
lengo lake la kustaafu sanaa hiyo ya muziki  na kutaka kubaki 
kama @jay z ila muziki kwake it,s over amesema ataendelea 
na biashara zake nyingine nje ya muziki
Share:

LAVALAVA AMKA HATUKUONI UKITUSUA NJE YA WCB

 Kauli hizo zimetolewa na mashabiki wa kweli
wa msanii huyo @lavalava wakimtaka afunguke na kuchukua
uamuzi mgumu wa kujiletea mabadiliko kwan huko aliko kwa 
wakati huu si pazuri pameshapooza yeye hasikiki kabisa na kipaji
kitapotea kwani husikiki mpaka vijana wa juzi wanataka kukupita
levo yako jiongeze tafuta mabadiliko

Share:

WAZIRI LUKUVI AMFUKUZA KAZI AFISA ALIYEMRUDISHIA ARDHI MHINDI ILIYOFUTWA NA MAGUFULI

 Waziri wa ardhi nchini tanzania @william  lukuvi
amemfukuza kazi afisa ardhi na mmoja wa watendaji wake 
kwa kitendo cha kumrudishia ardhi mwekezaji mhindi
kwani ardhi hiyo ilikua imekwiasha futwa na mheshimiwa raisi
hivyo ni kosa kisheria na hatua kali zitachukulawa
Share:

CHUONI MWANAFUNZI AUAWA NA MWENZIE WAKIMGOMBANIA SAIDA "WADAI WOTE ALIKUA MPENZI WAO"

 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani tanga
blasius chatanda amedhibitisha kifo cha mwanafunzi 
mmoja khange hussein ally aliyefanyiwa kitendo hicho
na mwanafunzi mwenzake ambaye ni waziri hassan
kwa kitendo cha kumgombania msichana 
aliyakua anajulikana kwa jina moja
@saida
Share:

NDEGE YAANGUKA NCHINI MEXICO WATU 6 WAPOTEZA MAISHA

 Watu sita wamepoteza   maisha baada ya ndege 
ndogo kuanguka nchini  mexico  jimboni  chinhuahua 
kulingana na taarifa zilizopatikana ndege hiyo aina  ya 
TU206G ilikua ikifanya safari yake humo jimboni 
chunhuahua na hitifala za ghafla kutokea na
kusababish @leonila gonzalez olivas 
na wengine watano kupoteza maisha

Share:

KLABU YA JUVENTUS IMEKUALI KULIPA ADA YA PAUNI 72.5 MILL KUMSAJILI @ARTHUR


 Juventus wamekubali kulipa ada ya pauni  72.5
kwa fc barcelona  kumsajili kiungo wa kimataifa  mbrazil  @arthur.........
kiungo huyo alijiunga na barca 2018 kwa euro mil 27 kutoka gremio
akaceza mara 27 katika laliga kwenye msimu wake wa kwanza bila goli 
na msimu huu kacheza mara 19 na magori matatu
Share:

HABARI NJEMA INDIA KWA MARA NYINGINE TENA SOLAR ECLIPSE /KUPATWA KWA JUA KWAONEKANA


 Ikiwa ni masaa machache nchini india kumetokea solar eclipese  yaani kupatwa kwa jua  karibu wahindi wote
 wameshiriki katika  misa ya kimila inayojihusisha na ibada
msimu kama huu wakupatwa kwa jua nchini india watoto
 kwa wakubwa,wanaume kwa wake wote wameshiriki katika
tukio hilo
Share:

WAANDANANAJI NCHINI MAREKANI WAFIKA WHITE HOUSE RAISI @D.TRUMP ATOROSHWA NA HELIKOPTA

 Pichani ni raia wa marekani wenye hasira kali
wakiwa wamevamia ikulu kwaajili ya kuvunja masanamu
yote ya wanaharakati  walio shiriki kueneza ubaguzi wa rangi
raisi trump akiwa ndani walinzi walifanikiwa kumuondoa akiwa salama kwa
helikopta na kumpeleka arizona kumuhifadhi kule a saini 
mkataba wa @executive order
ili kuwa adhibu wale wote waliohusika
Share:

MPIRA UMEGEUKA SASA WAMEANZA KUJUTA KULE

 Nchini marekana mahali maandamano  yamefanyika  siku chache baadae kumezuka uhitaji mwingi 
wa huduma za afya  na kuwafanya wamarekani kuigeukia serikali yao
ifanye marekebisho juu ya huduma zao za afya kwani uhitaji wa huduma 
hizo nimkubwa ikifatiwa na majeruhi wa maandamano kuwa wengi
nchni

Share:

MWANAMUZUKI DON DIABLO WA NETHERLAND ATANGAZA KOLABO NA MARSHMELLOW

 Rapa from netherland @ dondiablo  ametangaza
kuachia ngoma yake mpya na msanii marshmellow hivi karibuni 
baada ya janga la corona hivyo washabiki wake wasione yupo
kimya mambo yapo stage ya mwisho kuachiwa kwa  washabiki
wake
Share:

KWELI KAKA TUPO TUNAKUSAPOTI NYUMA YAKO WEWE SONGA MBELE

 Shirika  la video la youtube linayofuraha kuwapa
tathmini na pongezi watanzania kwa kuweza kuendelea kushika chati
kwa kuongoza views kwenye channel ya youtube  kwa nchi zote za 
afrika zilizo chini ya jangwa la sahara ..anasema  rekodi hiyo  imeshikwa
na watanzania kwa muda nakumfanya diamond platmunz kuendelea
kun,gara kileleni
Share:

KWELI TUMEYAONA BABA UTAPITA TENA

 Pichani  ni  raisi wa jamuhuri ya muungano 
wa tanzania mhesh john pombe joseph magufuli   pembeni ikioneshwa 
baadhi tu ya miradi mikubwa iliyo tekelezwa na raisi kipindi cha muhula
wake wakwanza kwa hali ya juu hii yaonesha uchapa kazi wake hivyo watu 
wamependekeza apitishwe muhula wapili bila pingamizi
Share:

"MLITAKA NIFE" VANESSA MDEE AFUNGUKA MAUZAUZA ALIYOKUTANA NAYO KWENYE MUZIKI"

 Msanii wa  bongo fleva nchini tanzania  
@vanessa mdee ameamua kufunguka na kutoa sababu zilizo
mfanya yeye akaacha muziki .aelezea mazito yaliyo mkuta
asema kuna wale waliotaka afe kwani wame mletea mauzauza ya ajabu
ambayo yalikua yanamnyima raha na kumfanya achukue maamuzi magumu
Share:

DUDU BAYA ATEMA CHECHE " VANESSA KUACHA MUZIKI DIAMOND,ALIKIBA NA HARMONIZE WAHUSIKA "

 Msanii   huyo aliyepigwa marufuku nchini
tanzania kujihusisha na shughuli ya muziki akiwa kama mwana
muziki  @ dudubaya amewataja diamond,konde boy na  alikiba 
kuhusika kakita safari ya vmoney kaucha muziki msanii huyo mstaafu hakutaka
kuweka wazi wamehusika kwa namna gani na kusema kwa
taarifa zaidi  watu wamfuate dm kwa maswali
Share:

WATU 14 WAMEUAWA NA 90 KUJERUHIWA KATIKA SHAMBULIZI NCHINI MAREKANI

 Watu 14 wameuawa na wengine  kujeruhiwa nchini marekani baada ya shambulio la silaha  kufanywa na vijana
wasiojulikana baada ya kuvamia benki ya mjini chicago .tukio 
hilo limetokea usiku wa kuamkia jumatatu .watu hao bado wanaendelea
kufatiliwa najeshi la polisi nchini hapo ili wasiweze kutoroka 
Share:

YOUNG KILLER "WOLPER ALINIFUMANIA NIKIWA NA MWANAMKE MWINGINE CHUMBANI "

 Mwana muziki wa hiphop  bongo 
msodoki young killer amesema hayo baada mmoja  wa  mashabiki wake 
kutaka kujua nini chanzo  cha wawili wao kutengana  akasema haya alifumaniwa 
na msichana mwingine chumbani na wolper kuamua kwenda kuvishwa pete
na mtu mwingine kwa haraka bila kufikiria akitaka kuniumiza kumbe
 mimi siumii maisha yanaendelea
Share:

JUSTINE BEIBER AKANA MADAI YA UBAKAJI ANAYODAIWA KUFANYA MWAKA 2014

 Mwana muziki huyo wa miondoko ya RNB
nchini marekani amekanusha kashfa hizo zinazomkabili
kwani watu wawili wasiojulikana kupitia ukurasa wa twitter
wametuma ujumbe wakimshtumu justine beiber kwa 
kitendo hicho ...lakini mwenyew justine
amekanusha taarifa hizo

Share:

TEKASHI 69 " IV,E DECIDED TO CHANGE MY LIFE "

 Rapa huyo wakimarekani anayejulikana
kwajina la tekashi 69 alisema hayo kupitia jarida hilo la marekani
kwamba ameamua kubadili mtindo wa maisha yake na kuwa mtu mwema 
kwani kipindi yupo jela amejifunza mambo mengi
ya kimaisha nakumfanya abadilike
Share:

CARDI B " AM GUD WITH MY HUSBAND JUST CHILLIN SIME WHERE"

 Ikiwa  kimya kimetawala tangu corona 
kutikisa dunai msanii na rapa wa marekani @cardib ametoa
tamko kwenye page yake kuwa ondoa hofu mashabiki wake 
kwamba yeye bado yupo na anaendelea vizuri na 
maisha mengine nje ya music na mume wake 
@offset

Share:

URAISI ZANZIBAR UMEINGILIWA KILA MTU AWANIA NAFASI

 Wafuatao ni miongoni mwawale waliochukua fomu ili kugombea na kuwania nafasi ya uraisi mwaka
 2020 kule visiwani zanzibari listi hiyo ikiwa na wagombea 
wa  chama cha ccm wakiwa wamejaza nafasi  
Share:

JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA VIJANA WATANO KWA WIZI WA VIFAA VYA MRADI WA ZIWA VICTORIA

 Akizungumza na vyombo vya habari   
inspekta  generali wa polisi kanda ya kaskazini amesema  wanawashikilia 
vijana watano kwa tuhuma za kujihusisha na wizi wa vifaa vya ujenzi
wa mradi wa viktoria  . hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa
ili kutokomeza kabisa vitendo hivyo viovu
Share:

KIM KARDASHIAN ANASA DILI LA MAMILIONI SPOTIFY

 Mwanamitindo  na  mwendesha kipindi cha keeping up with kardashian  kim kardashian  amesema hayo
juzi baada ya kusaini  mkataba na kampuni  ya muziki ya spotify 
anasema mkataba huo utaweza muingizia mamillioni ya hela
hivyo hakutaka kupoteza fursa kwan wengine wange  upata
Share:

SAWA NIMEKUBALI KUWATUMIKIA

 Akiwa  katika hatua za mwisho  za kuchukua 
majukumu mazito ya kuongoza mkoa wa arusha mhesh .idd kimanta
ameapa kuongoza mkoa wa arusha vyema  na kuweka sawa yale
makosa na madhaifu yote ya kiongozi aliyepita  ili kuweza kuleta maendeleo 
katika mkoa wake na kuufanya uendembele
Share:

JAYDE ATOA POLE KWA WASICHANA WAKIKE ASEMA WANAPITIA MENGI HADI WANATOBOA

Msanii maarufu wa bongo fleva  judith wambura
maarufu kama  lady jay dee  ametumia fursa hii kuwapa pole 
wasanii wakike ambao yamewakuta mengi na wengine bado 
yanawakuta .anaeleza kuwa wasanii wengi wakike wamekua 
wakipitia masharti magumu hadi kutoka kisanaa .hivyo aanatoa
rai kwa wanawake kupinga vitendo hivyo visivyofaa kwa jamii
Share:

SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET KURUDISHA SAFARI ZAKE , KWA KISHINDO BEI ZA NAULI ZASHUKA

 Shirika hilo la usafiri wa anga tanzania linayo furaha
kwanza kwa kuwashukuru watanzania kwakuonesha ushirikiano
nao kwa miaka kitano sasa .hivyo shirika hilo limeamua kupitish
ofa maalum kwa watanzania wote ili tuendelee kufurahia huduma
zao .  shirika limefungua safari ya dar mpaka  kilimanjaro
kwa bei  nafuu kabisa tsh69,000 
Share:

TUMEKUCHOKA BWANA KILA SIKU UNARUDIA KITU KIMOJA BADILIKA KIDOGO

 Pichani ni mke wa mc pilipili akiwa amepostiwa 
dakika 50 zilizopita .posti hiyo imezua gumzo na kuamsha
hisia za watanzania wengi wakimtaka mc pilipili apunguze au aache
kabisa kitendo cha kumpromo / kumpigia debe sana mkewe 
kwamba ni mzuri sana  kisa  amemzalia mtoto .watu wamemtaka
apunguze ilo kwani ni ushamba sababu duniani wazuri wengi 
na pia wanazaa vilevile kama mkewe
Share:

BASATA YATOA MWONGOZO KWA WASANII KUELEKEA JUNI 29

 Hayo yamesemwa na kiongozi huyo wa basata
tanzania kwa wasanii na menejiment  akiwaomba 
kuzingatia vigezo vyote na masharti  kwani  ugonjwa bado upo
hivyo wachukue tahadhari zakutosha wakati wa shughuli zao
ili kulikabili gonjwa la corona 
Share:

HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE VIWANJA BEI SAWA BURE NCHI NZIMA

Habari njema zimetufikia hivi punde  katika ofisi
kwa watanzania wote neema ya viwanja imeshuka
tanzania bei ya viwanja sawa na bure kwani bei zake
ni ndogo sana na zina kidhi haja na mapato  ya watanzania wote  
nhini   tembelea maeneo ya chanika ,kitunda,bagamoyo bunju nk...

Share:

MTOTO WA UWOYA " MIMI NI MVULANA SIO MSICHANA NITA WASHTAKI WANAONIDHIHAKI MAMA YANGU ANALIA SANA"

 Mtoto huyo wa irene uwoya anayejulikana 
kwajina la krish hamad ndikumana ameamua kuvunja hali
ya ukimya  iliyotanda kwa muda kidogo kwan watu wamemkejeli 
vyakutosha mtu yeyetr atakaye endeleza tabia hiyo
ni tamshatki
Share:

HABARI NJEMA KUTOKA SHIRIKA LA NDEGE LA KLM KWA WATANZANIA WOTE

 Shirika  la  ndege la  ulaya la klm linaya furaha 
kuwataarifu  watanzania wote kuwa  limeboresha huduma 
zake ili kurahisisha ratiba na kupunguza makosa yaliyo kuwa yakitokea
pia wanampango wahivi karibuni kupunguza bei ya usafiri 
kwa watanzania kwenye kipindi spesho ili watanzania wa hali 
zote waweze kupata na kufurahia huduma zao
Share:

TUWAKILISHE VYEMA WATANZANIA WENZAKO TUNAKUTEGEMEA

 Ni kwa mara nyingine tena msanii na mmiliki wa lebo ya  wcb diamond platnumz  ameweza kupata wito 
kuweza kuwania tuzo zinazofadhiliwa na shirika la mtv 
akiwa ni kama mmoja wa wale wageni waalikwa

Share:

NGOMA MPYA YA SO HOT YA ALIKIBA YAENDELEA KUVUKA MIPAKA MPAKA KULE 254


 Ikiwa zimepita  siku chache  tangu msanii kutoka lebo ya kings music
alikiba kuachia ngoma yake mpya
inayoenda kwa jina laso hot .ngoma
ambayo imemuongezea dau sokoni kwani ameachia ngoma kali kuendana namatakwa ya mashabiki
wake 
Share:

MEMBE " NIMEFUKUZWA CCM BILA IDHINI YA NEC WAKINISAFISHA KESHO ASUBUHI NATINGA KUCHUKUA FOMU YA URAISI "

 Aliyekuwa  waziri wa mambo ya nje tanzania
dk benerd membe  ambaye alikua anahusishwa na
kosa la kumsema vibaya mwenyekiti wake raisi 
mhesh magufuli alipewa adhabu ya kufutwa uanachama
wa chama cha ccm sasa atangaza kuwania uraisi 
kwa mara nyingine
Share:

MSANII NGULI WA BONGO FLEVA TANZANIA KONDE BOY AMEKIRI KUUMIZWA NA WOLPER NA KUMUANDIKIA WIMBO NISHAPONA ULIOGHARIMU SHILINGI MILL.4

 Msanii na mmiliki wa lebo ya konde music world wide  amekiri na kusema kuwa mchumba wake wa zamani 
jackline wolper alimuumuza sana  na kumburuza  kipindi cha 
uhusiano wao ila leo amesahau yote kwani yupo mahali
salama kwa mpenzi wake mpya  @sarah 
Share:

NYALANDU ATAJA KIPAUMBELE CHA KWANZA NI WATANZANIA KUFURAHI

 Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea 
uchaguzi mwenyekiti wa chadema kanda ya kati   
lazaro nyalandu amesema kuwa kipaumbele cha
kwanza ni kuhakikisha kuwa watanzania  wote
wafurahi  kwani kila mtu  anahaki ya kufurahia 
maisha 

Share:

UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA MAGUFULI LEO JUMAPILI TAR 21/06/2020

 Ikiwa ni siku ya jumapili ya tarehe 21/06/2020
kumetokea gumza serikalini  baada ya mhesh raisi john magufuli
kuchukua uamuzi wa kumtoa madarakani mmoja wa viongozi 
wake na kumteua mwingine  ikiwa tupo dakika za mwisho 
kuelekea zoezi la uchaguzi
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts