JOH MAKIN "MIMI NI KIONGOZI TEYARI"

 Mwana muziki joh  makin amesema hayo
baada ya kushangazwa  na kiki za baadhi  ya wanamuziki 
wenzake wakidai kugombea ngazi mbalimbali  za serikali
kwenye uchaguzi mwaka huu na kusema yeye teyari ni kiongozi
hivyo hataki uongozi mwingine
Share:

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Recent Posts