
Ikiwa ni kwa mara nyingine tena tunajumuika
kwa pamoja wa tanzania wote kumpa pongezi kijana
mwenzetu na nguli wa uchekeshaji tanzania mc pilipili
kwa kufanikiwa kupata mtoto .pia naye amefurahishwa
na kitendo hicho nakutoa shukrani za dhati kwenye ukurasa
wake wa facebook
No comments:
Post a Comment