TUPO KWA AJILI YAKO BABA TUNAKUPENDA SOTE

Wasanii wa bongo fleva nchini tanzania wakiwa wamevalia sare zao za   chama cha  mapinduzi
mda mchache baada ya kumalizika kwa  mkutano wa chama hicho makao makuu kule mkoani
dodoma  .wasanii hao wamekubali kumsapoti raisi wa tanzania katika harakati zake za kuelekea
katika uchaguzi mkuu mwezi wa kumi
Share:

MSANII MWANA FA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO BAADA YA KUTANGAZA KUWANIA UBUNGE MWAKA HUU

 Ikiwa siku chache zimepita tangu msanii wa
bomgo fleva mwanafa kutangaza kutaka kuwania ubunge zimezuka
taarifa mbalimbali zikisema kwamba msanii huyo yupo katika wakati 
mgumu baada ya watu wasiojulikana kumtia vitisho na kumtaka yeye
aachane na nia hiyo kwani ubunge sio fani yake.amesema hayo akiwa katika 
hali ya hofu kwani anasema watu wale hawana utani wasije mdhuru

Share:

Popular Posts

Recent Posts