maarufu kama lady jay dee ametumia fursa hii kuwapa pole
wasanii wakike ambao yamewakuta mengi na wengine bado
yanawakuta .anaeleza kuwa wasanii wengi wakike wamekua
wakipitia masharti magumu hadi kutoka kisanaa .hivyo aanatoa
rai kwa wanawake kupinga vitendo hivyo visivyofaa kwa jamii








No comments:
Post a Comment