TUPO KWA AJILI YAKO BABA TUNAKUPENDA SOTE

Wasanii wa bongo fleva nchini tanzania wakiwa wamevalia sare zao za   chama cha  mapinduzi
mda mchache baada ya kumalizika kwa  mkutano wa chama hicho makao makuu kule mkoani
dodoma  .wasanii hao wamekubali kumsapoti raisi wa tanzania katika harakati zake za kuelekea
katika uchaguzi mkuu mwezi wa kumi
Share:

MSANII MWANA FA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO BAADA YA KUTANGAZA KUWANIA UBUNGE MWAKA HUU

 Ikiwa siku chache zimepita tangu msanii wa
bomgo fleva mwanafa kutangaza kutaka kuwania ubunge zimezuka
taarifa mbalimbali zikisema kwamba msanii huyo yupo katika wakati 
mgumu baada ya watu wasiojulikana kumtia vitisho na kumtaka yeye
aachane na nia hiyo kwani ubunge sio fani yake.amesema hayo akiwa katika 
hali ya hofu kwani anasema watu wale hawana utani wasije mdhuru

Share:

IRANI YATOA WARRANTY YA KUKAMATWA KWA RAISI WA MAREKANI

 Taifa la @iran limetoa warranti ya kukamatwa
kwa raisi wa marekani @ d.trump na wanajeshi wake wapatao
35 kwa kosa la kuhusika na kifo cha  jenerali wa iran  aliyejulikana 
kama qassem soleiman ambaye aliuawa siku chache zilizo pita
kwa msaada wa jeshi la marekani  .. hivyo iran wameomba shirika na
jeshi la usalama la kimataifa @international police kuwasaidia kuwasilisha 
swala  hilo mahakamani na kulishugullikia
Share:

NILIMTONGOZA AKANIKATAA , NIKAMTONGOZA RAFIKI YAKE KANIKUBALIA SASA IMEKUA NONGWA

 Huyu dada kwenye picha  anamatatizo kwa kweli
nilikutana nae kwenye hoteli ya kimataifa nikamtongoza akanikatalia
akisema mazingira haya rusu ni ka mwomba namba nimcheki nje ya
mazingira yale akakataa kabisa .... dunia kijiji siku moja nikakutana 
na rafiki yake ambaye yeye alikuwa ni mzuri kushinda yeye  alaf yupo
kawaida haringi nikatupa kamba zikapokelewa  cha ajabu nafatwa na
aliye nikataa akinitukana matusi akisema eti mimi nawagombanisha yeye
na rafiki yake wakati yeye alinikataa kabisa
Share:

TUKUMBUKE KUWA SISI WOTE NI WAMOJA TUWEKE KASORO ZETU PEMBENI

 Hongera  umefanya  jambo la heri sana
... pichani ni msanii na mmiliki/ mwanzilishi wa lebo ya konde music
world wide @harmonize akiwa  katika kanzu wakati akijiweka 
wakfu kushiriki katika mazishi ya aliyekua mke wa mmoja wa 
mameneja wa lebo ya @WCB ....washabiki wamempongeza msanii 
huyo  kwa kitendo chake cha kiungwana kwani aliweka kasoro
zao pembeni na kushirikiana kwenye wakati washida na raha  
Share:

NANI MWENYE UJASIRI WA HALI HII DUNIANI

 Kwenye picha ni  bibi harusi  akiwa amebeba
mkononi  msalaba wa aliyekua mama mkwe wake
akiwa amefariki dunia sikua ya send off  yake na kuazimisha
mazishi ya mama mkwe wake siku moja ya harusi yake yeye na
mume wake mtarajiwa ambaye ni mtoto wa marehemu  ........
yaani wanaoanisha  siku ya mazishi na siku ya harusi 
pamoja
Share:

RAPA WA MAREKANI LIL WAYNE AACHIA KINYWAJI CHA LIL WAYNE FUNERAL SASA KIPO MADUKANI NCHINI MAREKANI

 Mwanamuziki mnchini marekani @lil wayne
ameachia kinywaji chake kipya kinachoitwa lil wayne funeral
ikiwa ni kipindicha maadhimisho ya msiba wa mumarekani mweusi
@george floyd ambaye aliuliwa kikatili na vyombo vya usalama
nchini huma hivyo mwanamuziki huyo ametumia fursa hiyo 
kuzindua kinywaji chake hicho  cha  @lil wayne funeral
Share:

WIMBO WA AMABOKO WA VANNYBOI NA DIAMOND WALETA BALAA MITANDAONI

 Lebo ya muziki ya  wasafi kupitia wasanii wake
nguli @diamond  na @ rayvanny wameachia ngoma mpya 
inayoenda kwa jina la @amaboko . ngoma hiyo bado inafanya 
vizuri  katika  mitandao kwani kwa siku moja imeweza kufikia
watazamaji  505k  idadi hiyo ikiwa imevunja rekodi ya nyimbo zote
kuwahi kuwekwa youtube 
Share:

JAMANI UCHAWI BADO UPO KWENYE MPIRA TUWE MAKINI

 Mmoja wa wachezaji wa timu ya ---------------
akiwa amejipanga kuikabili mechi inayomsubiri huku akiwa
hajiamini kwani camera zimemnasa akiwa na tambiko mguuni
ambalo anaamini litaweza msaidia yeye na timu yake katika
mchezo wa leo kupata ubingwa.matokeo yametoka wametoka
sare ya bao 2-2
Share:

KIFO NI AHADI AMBAYO KILA MWANADAMU ATAPITIA RIP SHAMMY

 Pichani ni mwanadada na mke wa mmoja wa 
viongozi waliokatika menejimenti ya wcb babu tale.
mwanadada huyo ajulikanaye kama @shammy 
anasadikika kupoteza maisha siku ya leo tar 28/06/2020
akiwa hospitalini alipo lazwa baada ya kuzidiwa 
akiwa nyumbani na kukimbizwa hospitalini 
hapo  roho  wa MUNGU ailaze mahala
pema peponi roho ya marehemu 
@shammy
Share:

MALKIA CAREN MTOTO WA GADNER AJITUPA MZIMA MZIMA KWA BILLIONEA LAIZER "MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHA "

 Mwana dada huyo caren ambaye ni mtoto wa
gadner ameamua kusema hayo ikiwa ni gumzo linaendelea
baada ya billionea laizer kuchimba mawe ya tanzanite yenye
kilo 15 na thamani ya billioni 7.8 na kutangazwa kuwa na
yeye kuhesabiwa miongoni mwa mabillionea tanzania
taarifa hizo zikaibua gumzo na kumfanya laizer kupata
lina kwani wasanii na watu wakubwa wameanza 
mahusiani naye ya kila namna 
Share:

DIDA "UJINGA TULIFANYA ZAMANI SASA NI PESA TU"

 Mtangazaji huyo nguli wa wasafi fm @khadija shaibu  ajulikanae  kama dida  ameamua kufunguka na 
kusema  maisha yanabadilika na sasa ni wakati wa 
kupambania maisha na kusaka hela kwani uko nyuma 
ameanya mengi  na  alipofika inatosha sasa ni muda wa
kufikiria kivingine na kutafuta maisha 
Share:

MASTA JAY ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE ROMBO

 Aliyekuwa  mmoja kati ya majaji wa 
shindano la bongo star search  tanzania bwana ajulikanaye
kwa jina la @ masta jay baada ya kuacha gumzo alipotoa
kauli ya kutaka kuwania ubunge jimboni rombo  ameamua
kuvunja ukimya na kutaka kueleza nia za msingi zilizo mpelekea
yeye kuchukua uamuzi huo "nataka  kuleta maendeleo jimboni
 kwangu "kauli hiyo aliitoa kama kielelezo tosha cha nia yake
Share:

BAADA YA VANESSA STAR MWINGINE ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI

 Nchini marekani aliyekuwa dj,muandishi na
mtayarishaji wa muziki @dj khalid ametangaza rasmi nia na
lengo lake la kustaafu sanaa hiyo ya muziki  na kutaka kubaki 
kama @jay z ila muziki kwake it,s over amesema ataendelea 
na biashara zake nyingine nje ya muziki
Share:

LAVALAVA AMKA HATUKUONI UKITUSUA NJE YA WCB

 Kauli hizo zimetolewa na mashabiki wa kweli
wa msanii huyo @lavalava wakimtaka afunguke na kuchukua
uamuzi mgumu wa kujiletea mabadiliko kwan huko aliko kwa 
wakati huu si pazuri pameshapooza yeye hasikiki kabisa na kipaji
kitapotea kwani husikiki mpaka vijana wa juzi wanataka kukupita
levo yako jiongeze tafuta mabadiliko

Share:

WAZIRI LUKUVI AMFUKUZA KAZI AFISA ALIYEMRUDISHIA ARDHI MHINDI ILIYOFUTWA NA MAGUFULI

 Waziri wa ardhi nchini tanzania @william  lukuvi
amemfukuza kazi afisa ardhi na mmoja wa watendaji wake 
kwa kitendo cha kumrudishia ardhi mwekezaji mhindi
kwani ardhi hiyo ilikua imekwiasha futwa na mheshimiwa raisi
hivyo ni kosa kisheria na hatua kali zitachukulawa
Share:

CHUONI MWANAFUNZI AUAWA NA MWENZIE WAKIMGOMBANIA SAIDA "WADAI WOTE ALIKUA MPENZI WAO"

 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani tanga
blasius chatanda amedhibitisha kifo cha mwanafunzi 
mmoja khange hussein ally aliyefanyiwa kitendo hicho
na mwanafunzi mwenzake ambaye ni waziri hassan
kwa kitendo cha kumgombania msichana 
aliyakua anajulikana kwa jina moja
@saida
Share:

NDEGE YAANGUKA NCHINI MEXICO WATU 6 WAPOTEZA MAISHA

 Watu sita wamepoteza   maisha baada ya ndege 
ndogo kuanguka nchini  mexico  jimboni  chinhuahua 
kulingana na taarifa zilizopatikana ndege hiyo aina  ya 
TU206G ilikua ikifanya safari yake humo jimboni 
chunhuahua na hitifala za ghafla kutokea na
kusababish @leonila gonzalez olivas 
na wengine watano kupoteza maisha

Share:

KLABU YA JUVENTUS IMEKUALI KULIPA ADA YA PAUNI 72.5 MILL KUMSAJILI @ARTHUR


 Juventus wamekubali kulipa ada ya pauni  72.5
kwa fc barcelona  kumsajili kiungo wa kimataifa  mbrazil  @arthur.........
kiungo huyo alijiunga na barca 2018 kwa euro mil 27 kutoka gremio
akaceza mara 27 katika laliga kwenye msimu wake wa kwanza bila goli 
na msimu huu kacheza mara 19 na magori matatu
Share:

HABARI NJEMA INDIA KWA MARA NYINGINE TENA SOLAR ECLIPSE /KUPATWA KWA JUA KWAONEKANA


 Ikiwa ni masaa machache nchini india kumetokea solar eclipese  yaani kupatwa kwa jua  karibu wahindi wote
 wameshiriki katika  misa ya kimila inayojihusisha na ibada
msimu kama huu wakupatwa kwa jua nchini india watoto
 kwa wakubwa,wanaume kwa wake wote wameshiriki katika
tukio hilo
Share:

Popular Posts

Recent Posts