DIDA "UJINGA TULIFANYA ZAMANI SASA NI PESA TU"

 Mtangazaji huyo nguli wa wasafi fm @khadija shaibu  ajulikanae  kama dida  ameamua kufunguka na 
kusema  maisha yanabadilika na sasa ni wakati wa 
kupambania maisha na kusaka hela kwani uko nyuma 
ameanya mengi  na  alipofika inatosha sasa ni muda wa
kufikiria kivingine na kutafuta maisha 
Share:

MASTA JAY ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE ROMBO

 Aliyekuwa  mmoja kati ya majaji wa 
shindano la bongo star search  tanzania bwana ajulikanaye
kwa jina la @ masta jay baada ya kuacha gumzo alipotoa
kauli ya kutaka kuwania ubunge jimboni rombo  ameamua
kuvunja ukimya na kutaka kueleza nia za msingi zilizo mpelekea
yeye kuchukua uamuzi huo "nataka  kuleta maendeleo jimboni
 kwangu "kauli hiyo aliitoa kama kielelezo tosha cha nia yake
Share:

BAADA YA VANESSA STAR MWINGINE ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI

 Nchini marekani aliyekuwa dj,muandishi na
mtayarishaji wa muziki @dj khalid ametangaza rasmi nia na
lengo lake la kustaafu sanaa hiyo ya muziki  na kutaka kubaki 
kama @jay z ila muziki kwake it,s over amesema ataendelea 
na biashara zake nyingine nje ya muziki
Share:

LAVALAVA AMKA HATUKUONI UKITUSUA NJE YA WCB

 Kauli hizo zimetolewa na mashabiki wa kweli
wa msanii huyo @lavalava wakimtaka afunguke na kuchukua
uamuzi mgumu wa kujiletea mabadiliko kwan huko aliko kwa 
wakati huu si pazuri pameshapooza yeye hasikiki kabisa na kipaji
kitapotea kwani husikiki mpaka vijana wa juzi wanataka kukupita
levo yako jiongeze tafuta mabadiliko

Share:

WAZIRI LUKUVI AMFUKUZA KAZI AFISA ALIYEMRUDISHIA ARDHI MHINDI ILIYOFUTWA NA MAGUFULI

 Waziri wa ardhi nchini tanzania @william  lukuvi
amemfukuza kazi afisa ardhi na mmoja wa watendaji wake 
kwa kitendo cha kumrudishia ardhi mwekezaji mhindi
kwani ardhi hiyo ilikua imekwiasha futwa na mheshimiwa raisi
hivyo ni kosa kisheria na hatua kali zitachukulawa
Share:

CHUONI MWANAFUNZI AUAWA NA MWENZIE WAKIMGOMBANIA SAIDA "WADAI WOTE ALIKUA MPENZI WAO"

 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani tanga
blasius chatanda amedhibitisha kifo cha mwanafunzi 
mmoja khange hussein ally aliyefanyiwa kitendo hicho
na mwanafunzi mwenzake ambaye ni waziri hassan
kwa kitendo cha kumgombania msichana 
aliyakua anajulikana kwa jina moja
@saida
Share:

NDEGE YAANGUKA NCHINI MEXICO WATU 6 WAPOTEZA MAISHA

 Watu sita wamepoteza   maisha baada ya ndege 
ndogo kuanguka nchini  mexico  jimboni  chinhuahua 
kulingana na taarifa zilizopatikana ndege hiyo aina  ya 
TU206G ilikua ikifanya safari yake humo jimboni 
chunhuahua na hitifala za ghafla kutokea na
kusababish @leonila gonzalez olivas 
na wengine watano kupoteza maisha

Share:

KLABU YA JUVENTUS IMEKUALI KULIPA ADA YA PAUNI 72.5 MILL KUMSAJILI @ARTHUR


 Juventus wamekubali kulipa ada ya pauni  72.5
kwa fc barcelona  kumsajili kiungo wa kimataifa  mbrazil  @arthur.........
kiungo huyo alijiunga na barca 2018 kwa euro mil 27 kutoka gremio
akaceza mara 27 katika laliga kwenye msimu wake wa kwanza bila goli 
na msimu huu kacheza mara 19 na magori matatu
Share:

HABARI NJEMA INDIA KWA MARA NYINGINE TENA SOLAR ECLIPSE /KUPATWA KWA JUA KWAONEKANA


 Ikiwa ni masaa machache nchini india kumetokea solar eclipese  yaani kupatwa kwa jua  karibu wahindi wote
 wameshiriki katika  misa ya kimila inayojihusisha na ibada
msimu kama huu wakupatwa kwa jua nchini india watoto
 kwa wakubwa,wanaume kwa wake wote wameshiriki katika
tukio hilo
Share:

WAANDANANAJI NCHINI MAREKANI WAFIKA WHITE HOUSE RAISI @D.TRUMP ATOROSHWA NA HELIKOPTA

 Pichani ni raia wa marekani wenye hasira kali
wakiwa wamevamia ikulu kwaajili ya kuvunja masanamu
yote ya wanaharakati  walio shiriki kueneza ubaguzi wa rangi
raisi trump akiwa ndani walinzi walifanikiwa kumuondoa akiwa salama kwa
helikopta na kumpeleka arizona kumuhifadhi kule a saini 
mkataba wa @executive order
ili kuwa adhibu wale wote waliohusika
Share:

MPIRA UMEGEUKA SASA WAMEANZA KUJUTA KULE

 Nchini marekana mahali maandamano  yamefanyika  siku chache baadae kumezuka uhitaji mwingi 
wa huduma za afya  na kuwafanya wamarekani kuigeukia serikali yao
ifanye marekebisho juu ya huduma zao za afya kwani uhitaji wa huduma 
hizo nimkubwa ikifatiwa na majeruhi wa maandamano kuwa wengi
nchni

Share:

MWANAMUZUKI DON DIABLO WA NETHERLAND ATANGAZA KOLABO NA MARSHMELLOW

 Rapa from netherland @ dondiablo  ametangaza
kuachia ngoma yake mpya na msanii marshmellow hivi karibuni 
baada ya janga la corona hivyo washabiki wake wasione yupo
kimya mambo yapo stage ya mwisho kuachiwa kwa  washabiki
wake
Share:

KWELI KAKA TUPO TUNAKUSAPOTI NYUMA YAKO WEWE SONGA MBELE

 Shirika  la video la youtube linayofuraha kuwapa
tathmini na pongezi watanzania kwa kuweza kuendelea kushika chati
kwa kuongoza views kwenye channel ya youtube  kwa nchi zote za 
afrika zilizo chini ya jangwa la sahara ..anasema  rekodi hiyo  imeshikwa
na watanzania kwa muda nakumfanya diamond platmunz kuendelea
kun,gara kileleni
Share:

KWELI TUMEYAONA BABA UTAPITA TENA

 Pichani  ni  raisi wa jamuhuri ya muungano 
wa tanzania mhesh john pombe joseph magufuli   pembeni ikioneshwa 
baadhi tu ya miradi mikubwa iliyo tekelezwa na raisi kipindi cha muhula
wake wakwanza kwa hali ya juu hii yaonesha uchapa kazi wake hivyo watu 
wamependekeza apitishwe muhula wapili bila pingamizi
Share:

"MLITAKA NIFE" VANESSA MDEE AFUNGUKA MAUZAUZA ALIYOKUTANA NAYO KWENYE MUZIKI"

 Msanii wa  bongo fleva nchini tanzania  
@vanessa mdee ameamua kufunguka na kutoa sababu zilizo
mfanya yeye akaacha muziki .aelezea mazito yaliyo mkuta
asema kuna wale waliotaka afe kwani wame mletea mauzauza ya ajabu
ambayo yalikua yanamnyima raha na kumfanya achukue maamuzi magumu
Share:

DUDU BAYA ATEMA CHECHE " VANESSA KUACHA MUZIKI DIAMOND,ALIKIBA NA HARMONIZE WAHUSIKA "

 Msanii   huyo aliyepigwa marufuku nchini
tanzania kujihusisha na shughuli ya muziki akiwa kama mwana
muziki  @ dudubaya amewataja diamond,konde boy na  alikiba 
kuhusika kakita safari ya vmoney kaucha muziki msanii huyo mstaafu hakutaka
kuweka wazi wamehusika kwa namna gani na kusema kwa
taarifa zaidi  watu wamfuate dm kwa maswali
Share:

WATU 14 WAMEUAWA NA 90 KUJERUHIWA KATIKA SHAMBULIZI NCHINI MAREKANI

 Watu 14 wameuawa na wengine  kujeruhiwa nchini marekani baada ya shambulio la silaha  kufanywa na vijana
wasiojulikana baada ya kuvamia benki ya mjini chicago .tukio 
hilo limetokea usiku wa kuamkia jumatatu .watu hao bado wanaendelea
kufatiliwa najeshi la polisi nchini hapo ili wasiweze kutoroka 
Share:

YOUNG KILLER "WOLPER ALINIFUMANIA NIKIWA NA MWANAMKE MWINGINE CHUMBANI "

 Mwana muziki wa hiphop  bongo 
msodoki young killer amesema hayo baada mmoja  wa  mashabiki wake 
kutaka kujua nini chanzo  cha wawili wao kutengana  akasema haya alifumaniwa 
na msichana mwingine chumbani na wolper kuamua kwenda kuvishwa pete
na mtu mwingine kwa haraka bila kufikiria akitaka kuniumiza kumbe
 mimi siumii maisha yanaendelea
Share:

JUSTINE BEIBER AKANA MADAI YA UBAKAJI ANAYODAIWA KUFANYA MWAKA 2014

 Mwana muziki huyo wa miondoko ya RNB
nchini marekani amekanusha kashfa hizo zinazomkabili
kwani watu wawili wasiojulikana kupitia ukurasa wa twitter
wametuma ujumbe wakimshtumu justine beiber kwa 
kitendo hicho ...lakini mwenyew justine
amekanusha taarifa hizo

Share:

TEKASHI 69 " IV,E DECIDED TO CHANGE MY LIFE "

 Rapa huyo wakimarekani anayejulikana
kwajina la tekashi 69 alisema hayo kupitia jarida hilo la marekani
kwamba ameamua kubadili mtindo wa maisha yake na kuwa mtu mwema 
kwani kipindi yupo jela amejifunza mambo mengi
ya kimaisha nakumfanya abadilike
Share:

Popular Posts

Recent Posts