SERIKALI YAMCHUNGUZA ZARI KISA KUWATUSI WATANZANIA

 Tuhuma hizo zinazomkabili aliyekuwa mzazi mwenza wa diamond platnumz zarina hassan @ zari the boss lady
zimefikishwa mahakamani na mahakama inaendelea kuzipitia kauli alizotoa katika 
hotuba  akisema " samahani mmezaa vitoto vyenye havina akili,
havina confidence,haviwezi  kuongea  yaani vimekua kama vile
ndondocha " hiyo ni sehemu ya hotuba yake zari kwa........

Share:

MWANADADA TESSY AIPA KISOGO SKENDO YA KUFUMANIWA

 Mwanadada huyo ambaye ni mzazi mwenza
kwa  mwanamuziki  aslay amesema  yeye ameamua kuwa
mtu wa kimya hataki maneno na watu kwani wamekua wakimlazimisha
aseme kitu juu ya skendo hiyo ila yeye ameamua kulifumbia macho
jambo hilo
Share:

SASA AIR TANZANIA YA RUDISHA SAFARI YAKE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI MUMBAI NAULI SAWA NA BURE

  Hayo yame semwa pale walipokua 
wanazindua rasmi safari za  ndege kwenda nje ya nchi
msimu huu baada ya corona   kwakuwajali wateja wao
wamepunguza bei ya nauli ilikuwezeshe watu wa hali zote kutumia 
usafiri huo kwenye shughuli mbalimbali
Share:

BARAKA DA PRINCE KIPAJI KINACHOANGUSHWA NA KIBURI

 Mwana muziki wa  bongo fleva   tanzania baraka da prince  amejiweka katika hatari ya kupotea kimuziki  kwani
anatabia mbovu ambayo menejiment nyingi hazijpendi kama 
kujisikia,kuwa na kiburu na kupend ugomvi 
kwan anarekodi ya kugombana na meneja wake
 wa kwanza kid bwai 

Share:

TETESI ZA TUFIKIA MTANGAZAJI WA WCB MTIGA ABDALLAH KUTAKA KURUDI WASAFI

 Habari hiyo ya chini yakapeti  inasemekana kuwa
yeye mwenyewe anajutia uamuzi wake wakukimbia na amewaomba 
radhi   mashabiki zake aliowachukiza kwa kuwafanyia  
kitendo ambacho hawakukipend kwan mahali aliposasa
bado papo chini ya levo  yake
Share:

RAISI WA MISRI " JESHI LIJIANDAE"

 Raisi wa misri  amesema hayo baada ya kurejea
sheria ya nchi yake inayompa ruhusa kuingilia moja kwa 
moja maswala ya nchi jirani  . uamuzi huo umekuja baada 
ya kushindwa kuendelea kuvumilia kuona machafuko yanayo
endelea nchini libya na kuamua kutaka kuingilia swala hilo kati 

Share:

ALIYEKUA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZZIBARI JECHA SALIL JECHA AJITOSA KUGOMBEA URAISI

 Aliyekua mwenyekiti wa  tume ya uchaguzi ya
zanzibari   mhesh.jeche salum jecha amechukua fomu ya
kuwani kugombea uraisi mwaka 2020 na kufanya idadi ya 
wagombea wa ccm waliochukua fomu zanzibari kufikia 14

Share:

HALI SI SHWARI VITA KUU DHIDI YA KLABU ZA AZAM SC NA YOUNG AFRICAN KATIKA KUWANIA NAFASI YA PILI KATIKA MSIMAMO WA LIGI

 Hali si shwari  mambo si mambo 
bongo kimenuka mechi ya yanga na azam sc  watakapochuana mnamo 
tarehe 21/06/2019 pale dar es salaam.japo serikali imetoa rai kwa 
wananchi wake kuwa waangalifu dhidi ya corona  
Share:

BAADHI YA WABUNGE NI WAVUTA BANGHI NA MADAWA YA KULEVYA

 Spika  mhesh job ndugaiametoa tamko 
hilo na kuliweka wazi kuwa ni ukweli  usiopingika 
kwani wengi wao wamekua ni watovu wanidhamu
muda wa vikao vya bunge hili  la 11 lililovunjwa 
hivi karibuni na raisi

Share:

ROMA MKATOLIKI AMCHANA NAY WA MTEGO --" ULICHOIMBA UMEMKOSEA MUNGU NENDA UKAMUOMBE MAMA YAKO MSAMAHA"

 Mwana muziki  @ roma mkatoliki    huyo amechukua hatua hiyo baada ya msanii wa bongo fleva 
 @nay wa mitego kuachia nyimbo ambayo si nzuri kwa jamii
kwani haina maudhui mazuri ya kutoa mafundisho 

Share:

PUNGUZO LA BEI HADI ASILIMIA SABINI YA BEI YA MAUZO

 Kutokana na janga la corona uchumi wa
mataifa mbali mbali umeshuka sana kwani shughuli zilikua
zimepigwa  marufuku  hivyo maduka yetu kwakuwajali wateja
 wake yametoa ofa ya punguzo la bei hadi asilimia sabini 

Share:

JENIFER KANUMBA ...UKWELI KUHUSU KUVALISHWA PETE NA PATRIC ..."ANASIFA ZA MUME NINAYEMTEGEMEA"

 Akiwa anahojiwa na vyombo vya habari 
jenipher anakubali kwamba ni kweli kuwa teyari 
ameshavishwa pete ya uchumba  na mwenza wake patrick
kwan ndio aliyemchagua  kwasababu anasifa zote alizotegemea
Share:

HALI YA TAHARUKI IMETANDA ULAYA BAADA YA WATABIRI KUTANGAZA KUONGEZEKA KWA JOTO KALI JWA SIKU ZIJAZO ZAKARIBU

 Shirika la hali ya hewa la ulaya ,<UK>
kupitia   tovuti ya sky news wameliambia taifa lao 
kujipanga  na mabadiliko ya hali  ya hewa  kwani  kuna joto 
kali linatarajia kuikumba nchi yao hivyo wajipange vizuri
Share:

NI MSHIKEMSHIKE UNAENDELEA KATI YA AFC BOURNEMOUTH NA CRYSTALPALACE

 Muda ukiwa umebaki dakika  kadhaa
kabla ya klabu za crystal palace na  afc bournemouth
kukiwasha dimbani na mmoja wao akitakiwa 
kuondoka na pointi tatu muhimu. swali  ni
je klabu gani ndio itachukua ubingwa???
Share:

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUA KWA TIMU YA SIMBA SC KUISHANGAZA MWADUI FC


 Leo wamevuka mto baada yakumtukana  mamba
hili limetokea pale national stadium ambapo awali
msemaji wa simba haji manara alijitamba kupata pointi tatu 
muhimu na katimiza maneno yake .mwadui kafungwa 3-o 
na simba

Share:

HATIMAYE KONDE BOI KONDE AACHIA NYIMBO ALIYOSHOOT MIAKA MINNE ILIYOPITA CHINI YA LEBO YA WASAFI

 Hatima ya siku ya leo tar 20/06/2020 msanii na
mmiliki wa lebo ya konde music world wide harmonize 
 amefanikiwa kuachia  ngoma yake  mpya ambayo aliishoot 
miaka minne iliyopita akiwa south africa chini ya lebo ya
 wcb <wasafi>   @ harmonize tz
Share:

NJE YA MIPAKA TUNAKULETEA - THE INVISIBLE GUEST

 Tunakuletea muvi  mpya kitu hot kabisa  ndio  kimezama
sokoni hivi punde  .muvi iliyojaa visa,matukio mbalimbali,upelelezi
,mahusiano kisasi na mambo mengine mengi .muvi iliyochezwa na 
wasanii  maarufu wakiwemo mario casas na jose coronado  
kwa uhondo zaidi bofya hapa
Share:

PUNGUZO LA NAULI SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR

 Shirika  la ndege la precision air laona 
fahari kuwatangazia watanzania wote kuwa  kipindi
hikicha corona kutakuwa  na  punguzo  la nauli 
kwa wateja wake wote    kwan wao ni  shirika linalo 
wajali wateja wake   endelea

Share:

BARNABA AFUNGUKA "WANAUME WANAPENDA VIPANDE VIPANDE KWA WANAWAKE LAKINI MIMI MKE WANGU ANAVIPANDE VYOTE"

 Mwanamuziki huyo mkongwe wa  bongo fleva 
ameamua kufunguka na kuwachana wanaume wenye tabia 
za  kuwatumia wanawake na kuwa acha nakusema yeye 
hayupo hivyo yeye anamapenz ya dhati  kabisa na sio
kama wanaume wengine wasiotambua thamani ya mwanamke
Share:

NILIKUA MATEKA WA POMBE_ VMONEY ASIMULIA ALIVYOJIONDOA KWENYE SHIMO

 Mwanamuziki wa bongo fleva vanessa mdee  amesema hayo alipokua akijibu  swali la shabiki wake kuwa
kwann alikua kmya muda wote .
hivyo akasema ameacha pombe kwan ndio chanzo cha
shida zote japo hakusema kwann aliingia katika kundi hilo

Share:

Popular Posts

Recent Posts